Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Mi mwizi, navizia nimpige mtu 😀🤣Jobless umepata kibarua Cha ulinzi😀
Mi mwizi, navizia nimpige mtu 😀🤣Jobless umepata kibarua Cha ulinzi😀
04:28?????04:28 I mean no malice to nobody
Mkuu namba hazi lingani🤣😀04:28?????
♥️❤️❤️Dah! Mkongwe mwenzangu...
Ova
HahahahahaHapo ulikua bado unakula kwa mama eeh haukua na bill yoyote hadi vocha unawekewa😀😀
Eeeeh..kama enzi za white party vile♥️❤️❤️
Toa location mkuu hiyo kitimoto huwezi kumaliza peke yako tuje tusaidiane😀😀Ndio naamka sasa ..nitafute ugali na kitimoto..nishushie na k vant nasubiri mpira
Hahahahaha..location...contena kwa rasta ..ila najua huwezi kujaToa location mkuu hiyo kitimoto huwezi kumaliza peke yako tuje tusaidiane😀😀
Nakuja kukusurprise mkuu😀Hahahahaha..location...contena kwa rasta ..ila najua huwezi kuja
Naona unaitafuta namba 3…Dah! Mkongwe mwenzangu...
Ova