Acha tu mkuu.Eeeeh..kama enzi za white party vile
Nimefika mremboMjep em njoo Mara moja tafadhali
Nanenepa Kama sina shida vile!.....sifanyi zoezi hata la kuchapa watoro shuleni...,. Unadhani nitatoboa huu mwaka kweli?🥴🤒Nimefika mrembo
Hahahahaha..ile ilkua familia hii sasa ..hahahahahahaAcha tu mkuu.
Enzi zile jamani.
...gauni yangu ikaja kumwagikia whine 🍷...ila Jf ya kipindi kile raha sana.
Shida ya mwana Jf, ni shida ya Jf nzima, ila sahv.... asubutuuuuuuuuuuuu
Utatoboa tuNanenepa Kama sina shida vile!.....sifanyi zoezi hata la kuchapa watoro shuleni...,. Unadhani nitatoboa huu mwaka kweli?🥴🤒
Sawa nasubiri kwa kweli...,maana dah😒Utatoboa tu
Ngoja nitakupa mbinu
Ishu ndogo sana hiyo
21:21Ni saa ngapi huko
Hakuna kulala leo21:21
Kabisa Kabisa mpaka kukucheeHakuna kulala leo
Ni kuruka majoka tu mpaka kucheeKabisa Kabisa mpaka kukuchee
Ukirudi home ukapigwa kwa kuchelewa usitushirikishe aisee🤓Ni kuruka majoka tu mpaka kuchee
.... MajangaHahahahaha..ile ilkua familia hii sasa ..hahahahahaha
Haya saa 23:42 sijalala leo nipo lindo hadi asubuhi 😀😀I mean no malice to nobody
View attachment 2898691
Pink promise ?!Haya saa 23:42 sijalala leo nipo lindo hadi asubuhi 😀😀
Huu usingizi nnaousikia sielewi hata, dah naaga lindo soon, nilipita kusalimia😀😀Pink promise ?!
View attachment 2899107
We kumbe ni kaongo, SI ume sema una Kesha😀🤒Huu usingizi nnaousikia sielewi hata, dah naaga lindo soon, nilipita kusalimia😀😀