JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

D6A0FFA7-DB62-45DE-ACB0-813779551865.jpeg
 
Niwachekeshe sasa.
Wafanyakazi wenzake na mwanangu wakija nyumbani kumtembelea mwanangu huwa wakinikuta mimi niko nae wanadhani mimi ni mkewe...kumbe ni mama yake.
Kuwahi kuwa na mtoto kuna faida yake, mnakuwa mnashauriana kama mtu na mdogo wake; changamoto huwa ni pale mwanzo tu katika kumleta duniani na kumpa mahitaji ya msingi.
 
Kuwahi kuwa na mtoto kuna faida yake, mnakuwa mnashauriana kama mtu na mdogo wake; changamoto huwa ni pale mwanzo tu katika kumleta duniani na kumpa mahitaji ya msingi.
Umeona eee
Na hapo walikuwa pacha, mmoja akafariki.
Can you imagine wangekuwepo wote, eti nami sahv ningekuwa nasuluhisha kesi za wanawake wao...🤦
 
Back
Top Bottom