Let maneno.....kahawa.....kashatahNani yupo tupige story
Uko wapi mkuu...nimegugu east Africa time ipo 10 hrs ahead of pacific timeSaa 9dk 13 pacific time nipo Hoi uchovu usingizi baridi meli yakata mawimbi
Port AngelesUko wapi mkuu...nimegugu east Africa time ipo 10 hrs ahead of pacific time
0235hrs
Hakuna vibarua huko mkuu tuje tujaribu!Port Angeles
Karibu vipo vya kutosha 9:58Hakuna vibarua huko mkuu tuje tujaribu!
Mkuu hebu mwanga kidogo pa kuanzia! Nilishawahi kujaribu kipindi fulani mambo yakawa mengi.Karibu vipo vya kutosha 9:58
Tafuta mtu akupe mwalikoMkuu hebu mwanga kidogo pa kuanzia! Nilishawahi kujaribu kipindi fulani mambo yakawa mengi.
Mkuu naomba siku nikutafute pm!Tafuta mtu akupe mwaliko
Halafu kama si mtu wa kuchagua kazi jichanganye kwenye majumba ya kulea wazee cha kushangaza majumba mengi yanamilikiwa na wa [emoji1139] faida yake unapata sehemu ya kulala na misosi..unachokipata utajiongeza mwenyewe
unakula maisha,Nicheke mie 😂😂 kisa nini
Afu dgo nimeua shuleunakula maisha,
au umepata mmasai wa mererani[emoji23]