Unalala vipi mida ya majukumu hii?01:31 nirudi kulala
Hongera, itabidi uyazoee mazingira mapya, soga za jf ni mapito tu.Ila kunavitu havizoeleki asee, esp kweny neno Mapenzi kuna muda watu wanajifariji nje kwamb hawateseki ila moyoni ni kilio kikuu[emoji23][emoji23] nacheka ila naogopa soon tu nitaend kuanzisha familia na kijana wa watu tulio kutana ukubwan kila mtu na tabia zake, sijui kama nitakua nakuja huku kupiga kelele au nitakua busy kupepea ndoa[emoji25], all in all nitawamiss sana Moyo wangu upo huku[emoji3059]
2030,em njoeni niwasimulie hadith moja tukiwa tumekaa chini tukiuzunguka moto katikat yetu.,
Nipo na Bib FaizaFoxy enu muda huu tunatafakar matendo makuu ya munguMko wapi?
Hapa 0440😁0429