Wewe sema hapa usikike[emoji16]Njoo nikunong'oneze
Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.Ambi,
sema kweli bibie, tuko na mume wetu na leo zamu yako uko nae chumba cha pili.
Huko shule hakusoma madhara ya multiple sex partnersJinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.
Shule Ulienda kusomea ujinga
Usiku wa manane tayari
Buguruni hapo katika harakati za kuhangaika nilikuwa naenda hapo saa saba/nane usiku kula. Siku ya kwanza nilishangaa sana mda huo lakini bado kuna vurugu kama zote!Wakubwa leo nakesha maeneo ya buguruni hapa mpaka majogoo.
[emoji7][emoji7][emoji7] 0024Usiku wa manane tayari [emoji28][emoji16][emoji23][emoji2957][emoji1787]?
Mpaka muda huu watu wako vile vile, ngoja tuvute muda tuone kama wataisha.Buguruni hapo katika harakati za kuhangaika nilikuwa naenda hapo saa saba/nane usiku kula. Siku ya kwanza nilishangaa sana mda huo lakini bado kuna vurugu kama zote!
Mkuu buguruni hapo ni kama watu hawalali. Tena huu usiku ndio biashara zinachanganya za kila aina!Mpaka muda huu watu wako vile vile, ngoja tuvute muda tuone kama wataisha.