Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Asanteni ghali??
poleni, kila mtu anapitia maumivu,
Asanteni ghali??
poleni, kila mtu anapitia maumivu,
Hebu salimia wakubwa, so una kuja na bichwa lako lililo jaa uchonganishi😂🤣🤣Si nilionja ile gongo ya kichina nikapotea mazima 😁😁😁
Afu chumbani una tumia taa ya rangi gani???,Nilihangaika kutafuta usingizi, acha tu.
Jitahidi kumaintain, ukijihisi bored njoo tucheke.Mimi natamani kukupasua ukiniletea utani😂
Nilizima taa, huwa natumia nyeupe.Afu chumbani una tumia taa ya rangi gani???,
For realJitahidi kumaintain, ukijihisi bored njoo tucheke.
👉Mambo hayaendi zungumza, tujue tuna solve aje
Hebu salimia wakubwa, so una kuja na bichwa lako lililo jaa uchonganishi[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Dah yani wewe na lile li mwehu (rafiki yangu)hamna Tofauti 🤣😂😂Nyokoniko wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wazima wanashevia panga?!!
Hi statement imekaa ki utata, for real - unasema ni kweli au umeweka statement ya kuuliza swali??🤣😂😂😜For real
Toa huo utumbo haraka, ndo Mana huponi haraka. Ms eyesNilizima taa, huwa natumia nyeupe.
Dah yani wewe na lile li mwehu (rafiki yangu)hamna Tofauti [emoji1787][emoji23][emoji23]
Ni kweliHi statement imekaa ki utata, for real - unasema ni kweli au umeweka statement ya kuuliza swali??🤣😂😂😜
Wapuuzi tu, mna niona mi Rika lenu ehh😂🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema kweli?
Yeahhh, nama Anisha kabisaa- weka taa yenye mwanga hafifu.Kweli?
Wapuuzi tu, mna niona mi Rika lenu ehh[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😊😊😊Yeahhh, nama Anisha kabisaa- weka taa yenye mwanga hafifu.
👉Usitumie simu gizani, weka eye Care kwenye simu.- punguza mwanga
Dogo 😂🤣😂, acha miyeyusho 🤣😂.Ushaanza kujipa ukubwa lol!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo [emoji23][emoji1787][emoji23], acha miyeyusho [emoji1787][emoji23].
[emoji117]Nitasepa ukose wa kupiga nae majungu[emoji23][emoji1787][emoji1787]