mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
dah, na yalivyo mazuri sasaHili tatizo ni la muda mrefu sana tangu nikiwa grade three, kuna wakati yanauma na kuacha kwa muda mchache.
dah, na yalivyo mazuri sasaHili tatizo ni la muda mrefu sana tangu nikiwa grade three, kuna wakati yanauma na kuacha kwa muda mchache.
Acha tudah, na yalivyo mazuri sasa
We are the seed of the same style🤣😂Ulijuaje?😂
Nyoka kazini🤣😂😂😂dah, na yalivyo mazuri sasa
Yaani nikianza kuwaza basi nita exaggerate mambo hapo😂😂. Suala la kupanic ndio balaa na hasira kalii piaWe are the seed of the same style🤣😂
wewe unamaanisha vitu😅Nyoka kazini🤣😂😂😂
Poa , hivi now ni za asubuhi au bado za usiku ![emoji2]mambo
Sehemu ya utosi(upande wa mwanzoni) inakuwa Kama inavimba, sio POA.Yaani nikianza kuwaza basi nita exaggerate mambo hapo😂😂. Suala la kupanic ndio balaa na hasira kalii pia
nilichomaga laki 4 kwenye dodge kipindi niko form 3, dah[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa ,hapa ni kuviziana tu mpaka tufike
wewe unamaanisha vitu😅
Yaani hizi hasira ndio mbaya sasa, zinaniumiza kichwa na ndio maana mimi sio mtu wa kukasirika sana.Sehemu ya utosi(upande wa mwanzoni) inakuwa Kama inavimba, sio POA.
👉Hasiraa Kali, mtu asikuzingue hata kidogo🤣😂
hili tatizo lenu halitibiki??Sehemu ya utosi(upande wa mwanzoni) inakuwa Kama inavimba, sio POA.
👉Hasiraa Kali, mtu asikuzingue hata kidogo🤣😂
Dodge coin ikaingiliwa na mpenda kitonga🤣😂😂nilichomaga laki 4 kwenye dodge kipindi niko form 3, dah
Bora tujue tiba☹️hili tatizo lenu halitibiki??
Lina tibika, ila after a long time.hili tatizo lenu halitibiki??
Juzi Kuna mtu nili muagiza,akawa ana leta utani na utoto.Yaani hizi hasira ndio mbaya sasa, zinaniumiza kichwa na ndio maana mimi sio mtu wa kukasirika sana.
Bora tujue tiba☹️
ni ghali??Lina tibika, ila after a long time.
👉Mimi Sasa hivi angalau🙏
oyaa sio poaDodge coin ikaingiliwa na mpenda kitonga🤣😂😂
Kawaidaa, ila the best ni kuchange personal life style first🙏ni ghali??
poleni, kila mtu anapitia maumivu,