Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Ya msosi, naona uvivu kwenda jikoni. NaogopaNjaa ya nini ??
Inuka Twende, trust meYa msosi, naona uvivu kwenda jikoni. Naogopa
Hapana, usiniponze😂Inuka Twende, trust me
We inuka, una kuwa una nyata tu😂🤣🤣, tembelea ncha za vidole😂🤣Hapana, usiniponze😂
Wanawake na nyi mna bet🤔😂🤣🤣Mkeka usiposoma usingizi unakata[emoji18]
Hapana😂🚮, navumilia. Imeshaanza kupungua hata hivyo.We inuka, una kuwa una nyata tu😂🤣🤣, tembelea ncha za vidole😂🤣
Ume nisumbua bure, haya selfika nione😂🤣🤣Hapana😂🚮, navumilia. Imeshaanza kupungua hata hivyo.
Niselfike wakati nimelala. Toka hapaUme nisumbua bure, haya selfika nione😂🤣🤣
Weka ya zamani😜Niselfike wakati nimelala. Toka hapa
Sina sasa😐Weka ya zamani😜
Naomba mavyombk yaanguke huko jikoni🤣😂😂, mapazia yawe Yana peperuka🤣😂😂Sina sasa😐
Shindwaa☹️🚮Naomba mavyombk yaanguke huko jikoni🤣😂😂, mapazia yawe Yana peperuka🤣😂😂
Nikijingáta tu ulimi, najua ume niita🤣😂Shindwaa☹️🚮
Hivi unajua nina tatizo la kukosa usingizi😐Nikijingáta tu ulimi, najua ume niita🤣😂