National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
04:58
Unalalaje sasa hivi umekuwa kuku 😅😅😅4:55 AM
mshamba nalog off😅
Lkn mkuu anaonekana anataka uhusiano. Hapo ndio pananisumbuaMjibu kwa zawadi na upendo pia mkuu 😅😅
Uhusiano na mke wa mtu unaanzia wapi kijana ? Unasaka matatizoLkn mkuu anaonekana anataka uhusiano. Hapo ndio pananisumbua
Ukweli ndio huoUhusiano na mke wa mtu unaanzia wapi kijana ? Unasaka matatizo
Wewe ulitaka umpe nini?Jf sa kumi usik Nina swali.
Ni suala binafs na mahusiano kazini. Ninafanyakaz taasis moja binafs. Mm ni kijana na nimeoa. Lkn Kuna mwanamama ametokea kuwa karb na mm na anaonesha amenielewa. Na yeye ameolewa.
Anapenda kunipa vizawad. Hiv juzi ijumaa kanipa suruali. Kama zawadi. He natakiwa nimpe nn? Nimjibu nn naona Asante haitoshi. Upande wa hisia Sina hisia naye hata kidogo
Amlambe tu na aampotezee. Sisi wadada hatuma lingine bossWewe ulitaka umpe nini?
0501
Utachezea za kichwa usicheze na mke wangu kijana umesikia sawa ?Lkn mkuu anaonekana anataka uhusiano. Hapo ndio pananisumbua
Achana na mke wa mtu mkuuUkweli ndio huo
Weee unapenda kulambwa na kupotezewa?Amlambe tu na aampotezee. Sisi wadada hatuma lingine boss
DuhAmlambe tu na aampotezee. Sisi wadada hatuma lingine boss
Huwez amin tu lkn tuna udhaifu was kijinga Sana. Emerging unanisaidia jambo lkn najiwa na hali kwamba unastahili kula tunda langu
😬😬😬 Exchange baada ya msaada.. mwanamke asie tambua thamani ya utu wake .. ndio anakuwa hivyo au alie malaya malaya.. Ile nipe nikupeHuwez amin tu lkn tuna udhaifu was kijinga Sana. Emerging unanisaidia jambo lkn najiwa na hali kwamba unastahili kula tunda langu
Wewe ushawahi kutoa tunda hivyo?Huwez amin tu lkn tuna udhaifu was kijinga Sana. Emerging unanisaidia jambo lkn najiwa na hali kwamba unastahili kula tunda langu
Umemaliza kila kitu, nafunga magetindio anakuwa hivyo au alie malaya malaya.. Ile nipe nikupe
Mara nne 4.Wewe ushawahi kutoa tunda hivyo?
0510
Baadae mfunga Geti 😅😅Umemaliza kila kitu, nafunga mageti
0515
🙌🙌🙌🙌🙌Mara nne 4.
Nilikiwa cchuo first ur. Kuna mkaka huyo alinilipia nauli kwenye bas. Simu moja namuona kwenye lekcha baada ya kutika tukaongoza lunchi. Jinn nikawiwa kumpa.
Mwingine nilikiwa Sina hata hela ya vocha akanicheki na 20k nilimuona kama malaika. Akala yai.
Mwingine alikuwa mfanyakaz mwenzangu, yule mbaba mpole sana nilimuonea huruma tu, tukiwa tour ya wafanyakaz mikumu alinilala morogoro.
Mara nyingi siwez kukumbuka kila kitu