Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Kawekeza hisa za apple electric car, ni cheap ila Zina future🤣😂😜oyaa sio poa
Kawekeza hisa za apple electric car, ni cheap ila Zina future🤣😂😜oyaa sio poa
Uli kalia Nini🤔🤣😂😂nakumbuka niliwahi kukalia soup😬
dah, niliumwa sana
Huku ungua hiyo bench ya asili🤣😂😂supu mwanangu nilidondokea jikoni ikaniunguza😬
hela ndo shida mzeemshamba_hachekwi wekeza katika hisa, soko la nje Lina angalau🙏🙏
Woiii😂🤣🤣🤣ndo maana yake😬
mwezi mzima sikuenda shule
Usihonge😂🤣🤣, Kuna site unaeza anzia hata na dollar 15 ambayo ni 30000hela ndo shida mzee
bora uhonge aisee😂 sema kama ukute unaishi paycheck to paycheck huweziUsihonge😂🤣🤣, Kuna site unaeza anzia hata na dollar 15 ambayo ni 30000
Bora nyie wazee wa paycheck 🤔🏃, SI majobless tuna ishi kwa kudraa🤣😂🙏bora uhonge aisee😂 sema kama ukute unaishi paycheck to paycheck huwezi
Acha kabisa [emoji38]Mzee wa arsenal, ume muona rice[emoji23][emoji1787]
Tuombe jesus asipate pancha🤣😂Acha kabisa [emoji38]
dah, una moyo sana😂Bora nyie wazee wa paycheck 🤔🏃, SI majobless tuna ishi kwa kudraa🤣😂🙏
Nitashukuru Sana🙏🙏, vipi una halotel???dah, una moyo sana😂
ngoja nikuongezee role models wa kufatilia, si unatumia youtube??
sina halotel, si nnawaandika hapa hapa tu we unaenda kuwacheki, mi ndo nawafatilia, wako legitNitashukuru Sana🙏🙏, vipi una halotel???
Nina gb kadhaa, Afu laini yangu haipandishi data.sina halotel, si nnawaandika hapa hapa tu we unaenda kuwacheki, mi ndo nawafatilia, wako legit
duh, jau....Nina gb kadhaa, Afu laini yangu haipandishi data.
👉Nilitoka Niku gawie
List ni ile ile😂🤣 - Mimi wa 1🤣😂sina halotel, si nnawaandika hapa hapa tu we unaenda kuwacheki, mi ndo nawafatilia, wako legit
Poa, chap kabla sijazimaa usingizduh, jau....
ngoja nikuandikie PM