KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,514
- 88,999
were in ng'ombe make WA mtu in sumu usijekusema hatukukuambia ng'ombe ng'ombe weweJf sa kumi usik Nina swali.
Ni suala binafs na mahusiano kazini. Ninafanyakaz taasis moja binafs. Mm ni kijana na nimeoa. Lkn Kuna mwanamama ametokea kuwa karb na mm na anaonesha amenielewa. Na yeye ameolewa.
Anapenda kunipa vizawad. Hiv juzi ijumaa kanipa suruali. Kama zawadi. He natakiwa nimpe nn? Nimjibu nn naona Asante haitoshi. Upande wa hisia Sina hisia naye hata kidogo