mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
mimi nazungumzia content creators ambao wanatengeneza content kuhusu finance....List ni ile ile😂🤣 - Mimi wa 1🤣😂
👉Musk, bezos, Larry page, mark Zuckerberg, ceo wa lmvh,
👉Mengi(rip), bakhresa,
afu wengi wamefanya kazi kwenye markets, kwahiyo unapata madini