Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
01:43 eti Wana taka laki 3 kumsafirisha, SI Bora nimbebe mwenyewe 🤣😂 Mzee wa kupambania, National Anthem, Dahan, Ms eyes, Aaliyyah na mshamba_hachekwi
Same here, ime nitesa baadhi ya muda😪Hivi unajua nina tatizo la kukosa usingizi😐
Pole jamaniSame here, ime nitesa baadhi ya muda😪
😂😂😂01:43 eti Wana taka laki 3 kumsafirisha, SI Bora nimbebe mwenyewe 🤣😂 Mzee wa kupambania, National Anthem, Dahan, Ms eyes, Aaliyyah na mshamba_hachekwi View attachment 2695736
Ohoo ,acha kabisa [emoji23],pesa ni mbaya sanaWanawake na nyi mna bet[emoji848][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hiyo inshu ime nifanya nisome vitabu na kuangalia movie nyingi😂🤣🤣Pole jamani
Sasa mimi nina matatizo ya macho, movie siwezi kuangalia muda mrefu. Kichwa lazima kiniumeHiyo inshu ime nifanya nisome vitabu na kuangalia movie nyingi😂🤣🤣
Kumbe mpo wote mnatuzuga, atoke hapo wapi? Na baridi hii unamuambiaje atoke jamaniNiselfike wakati nimelala. Toka hapa
Hujapona tu, au zile dawa hukutumia?? Ms eyesSasa mimi nina matatizo ya macho, movie siwezi kuangalia muda mrefu. Kichwa lazima kiniume
Ms eyes una maoni gani😂🤣🤣Kumbe mpo wote mnatuzuga, atoke hapo wapi? Na baridi hii unamuambiaje atoke jamani
Haya nidanganye uli bet nini 😂🤣🤣Ohoo ,acha kabisa [emoji23],pesa ni mbaya sana
Miayo ya njaa au usingizi😂🤣🤣Napiga miyayo 😂😂
UsingiziMiayo ya njaa au usingizi😂🤣🤣