JamiiForums Usiku wa manane
Mi nawashauri nakuwashangaa nyie wapuuzi usiku mkubwa mnaandika TU 3:56 Sasa what is this for kama sio utoto? Mtu mzima mwenye majukumu lukuki analala mapema kwaajili ya kupambana na kazi na majukumu ya kesho Sasa ma fala mnaolala jikoni na store za kuwekea mafagio kwa dada zenu ndio hamna la kufanya usiku na wengi mnasingizia eti night shift watchmen nk stupid kabisa ukiwa LINDO unachat? Ukiwa night shift hospital unachat? Huna kazi za kufanya? Maana hapo upo kazini Sasa unapata wapi muda wa kuchat ukiwa ofisini? Pumbafu kabisa watoto wa mama msio na kazi huu ndio muda wa kuzunguka na bahasha kuomba kazi jioni ukalale kwenye store ya madekio ya dada zenu!

Dah mtoto wakiume kuanza kudis wanaume wenzake nalo janga sawa tumekuelewa mtoto wa panya road
 
Back
Top Bottom