masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,823
- 16,895
Tukutane saa 9 ndo naingia kulala nipo hoi
Eee...tuendelee Leo usikuHapo Mimi nishamaliza O level kitamba aisee
Achana na story. Afande nimetoa Amri. Itekelezwe mara moja.😂😂😂Mambo yalikua mengi sanaaa.. Ivi unampangiaje mtuuu cha kufanyaaa?? 😂 😂 😂 Etiiii stow away ,Bantu Lady Intelligent businessman..
Mida ya kukaba inakaribia sasa 😀Ww huon mvua hii embu sikia nenda kwako katulie acha kuzulul na leo job umetoka mapema san
Naomba kaniibie mtu anae milikk iphone 14 pro nitakup 20000 iba iyo simu tuMida ya kukaba inakaribia sasa 😀
Usimsikilize huyo anataka aniharibie mawindo yangu kwa warembo wa jf mwambie afute kauli yake 😬😬😬Kumbe kaoaa, Sasa Juliana's anafanyaga Nini. Mzee wa kupambania I mean no malice to nobody
Dogo hiyo hell nyingi Sana, we nipe 5000 nimuibe na mwenye simuuuNaomba kaniibie mtu anae milikk iphone 14 pro nitakup 20000 iba iyo simu tu
????00:03 intelli reporting, I mean no malice to nobody
Aaah! 😪Jamani natania tu The Icebreaker ni my good friend of mine. Siyo my man jamani nisije nikamuharibia kwa wifi zangu bure humu.