JamiiForums Usiku wa manane
Nialike nije kuyaiba Hadi hayo makaburi, Mimi intelli mwizi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa chama Cha wezi Poor Brain, chambo wa chama Cha wezi Analyse na mzee wa kuchomesha a.k.a stow away miyeyusho himself
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
👉 I mean no malice to nobody
I mean no malice to nobody. Wadau tuliadimika sana hapa

Inapendeza kuona timu imetimia 👊👊
 
Back
Top Bottom