Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,280
Ww ulienda wapin03:02
Miyeyusho in da building
O yes I'm in Leo hali ni shwari watu km wote hadi Analyse namuona yupo wapi National Anthem Dahan je we Kanali G Mzee wa kupambania salamu zako mkuustow away In da house
Nna ujumbe wako ujue fanya kama hujapewa maelekezo tuMmmh naogopa dhambi mimi. Hapa mmefungua si ndiyo. Kila kitu ruksa? Halafu leo nilibless kule mahala petu ujue
Umeleta habar ganiNilikua Po kwenye cordor za JF
03:07
Ishapita hiyooo 😆😆😆😆Nna ujumbe wako ujue fanya kama hujapewa maelekezo tu
Nifanyie kama unakosea vile
Uko alone,unavizia muda wa morning Glory ukamuamshe mtu niniView attachment 2571599
Nipo live usiku wa manane😂
Ww mbona mgumu kuelewa acha mazoea na mke wang aseUko alone,unavizia muda wa morning Glory ukamuamshe mtu nini
Kuna watu wa kuambiwa hivyo na wa kuyafanya hayo roho yako na uzuri wako haviendani na ukatili huoIshapita hiyooo 😆😆😆😆
Habari njema leo sijasikia hazana hadi mda huu na mimbwa haibweki sana Leo upepo umetulia lindo halina purukushani nyingi gari zote zimepaki usalama 5 juu ya 5Umeleta habar gani
Cha kwako peke yako kaburi tuWw mbona mgumu kuelewa acha mazoea na mke wang ase
wahiyo unatak tushare?Cha kwako peke yako kaburi tu
Vizuri lud getiniHabari njema leo sijasikia hazana hadi mda huu na mimbwa haibweki sana Leo upepo umetulia lindo halina purukushani nyingi gari zote zimepaki usalama 5 juu ya 5
03:09
Nipe best nausubiria nilale sasa.Nimeogopa ku quote Bantu Lady ila naomba nikupe ujumbe wako please
"ukimtaka wako peke yako labda uchukue mgomba uweke ndaniK
wahiyo unatak tushare?