Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,294
- 3,188
Sio powa mkuuUnaogopa mizimu
04:36
Sio powa mkuuUnaogopa mizimu
04:36
Sahihi npo na shemeji yenu sio muda hapa nipate Cha morning Glory04:37
Kumekucha lakini
Nialike nije kuyaiba Hadi hayo makaburi, Mimi intelli mwizi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa chama Cha wezi Poor Brain, chambo wa chama Cha wezi Analyse na mzee wa kuchomesha a.k.a stow away miyeyusho himself04:28 nimelala nyumba iliyopo karb na makaburi usingiz wote umekata
Hayo madude ukiyaogopa ndio yatakutesa sana.Unaogopa mizimu
04:36
😂😂😂Nialike nije kuyaiba Hadi hayo makaburi, Mimi intelli mwizi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa chama Cha wezi Poor Brain, chambo wa chama Cha wezi Analyse na mzee wa kuchomesha a.k.a stow away miyeyusho himself
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Toa fursa hoyo, ili wazee tutajirikee
Unatak kuwaker waliolala usngiz wa mileleToa fursa hoyo, ili wazee tutajirikee
Kwani hayo mavitu yanatajirisha?Toa fursa hoyo, ili wazee tutajirikee
Ukaibe makaburi yoteNialike nije kuyaiba Hadi hayo makaburi, Mimi intelli mwizi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa chama Cha wezi Poor Brain, chambo wa chama Cha wezi Analyse na mzee wa kuchomesha a.k.a stow away miyeyusho himself
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
👉 I mean no malice to nobody
Mkuu hiyo mifupa, tutawauzia wafugaji maana ni rich in phosphorus vitaminKwani hayo mavitu yanatajirisha?
Mifupa ina vitamin gani mzee, pale ni calcium, na phosphorus za kutosha 😀Mkuu hiyo mifupa, tutawauzia wafugaji maana ni rich in phosphorus vitamin