JamiiForums Usiku wa manane
Shida nini Tena wadau ?? stow away, Poor Brain, Dahan na Bantu Lady mbona wadogo zako wameanza kutishanaa🤔
Nilikuwa nimeshalala, kurudi asubuhi kucheck Notification nakuta mjinga mmoja sijui Superb anatutusi sana. Ndiyo madogo wakamkazia nao. Yaani sikuwepo tu 🤣🤣🤣🤣
Yeye hiyo saa 10 za usiku alifata nini?
Rudi nyuma Intel page mbili tu utamsoma na utaelewa
 
Ana bahati hakunikuta, baba mwenye nyumba. I mean no malice to nobody
 
Tuachane naye shoga huyo ndiyo liliwekaga Avatar ya mwanamke kavaa gagulo huyo. Watu wakalisema ndiyo likabadili. Halina maana stress zake, akaamua kuzimaliza hapa. Baada ya kuona watu wako happy. Utasema anawalisha, wakati kila mtu ana maisha yake. Binadamu wengi wana Mental Health...
 
Yaani huwa nawaza hivi vichwa viwili, si tungeuza nyumbaaa aisee Bantu Lady . I mean no malice to nobody
 
Aliyeanza kudiss watu ni Nani??, Kati yet sisi na wewe . F.ck off
Mi nawashauri nakuwashangaa nyie wapuuzi usiku mkubwa mnaandika TU 3:56 Sasa what is this for kama sio utoto? Mtu mzima mwenye majukumu lukuki analala mapema kwaajili ya kupambana na kazi na majukumu ya kesho Sasa ma fala mnaolala jikoni na store za kuwekea mafagio kwa dada zenu ndio hamna la kufanya usiku na wengi mnasingizia eti night shift watchmen nk stupid kabisa ukiwa LINDO unachat? Ukiwa night shift hospital unachat? Huna kazi za kufanya? Maana hapo upo kazini Sasa unapata wapi muda wa kuchat ukiwa ofisini? Pumbafu kabisa watoto wa mama msio na kazi huu ndio muda wa kuzunguka na bahasha kuomba kazi jioni ukalale kwenye store ya madekio ya dada zenu!
 
Jamani shetani amepita, hizi mbwembwe za kihaya. Bro kuwa makini utachanika Bantu Lady, Dahan, stow away, Poor Brain, National Anthem, Mzee wa kupambania njooni muone ma jobless tunasemwaa
 
Back
Top Bottom