Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,829
- 40,365
Dalili za upweke04:47
Mpaka jua liwake
Dalili za upweke04:47
Mpaka jua liwake
Nipo lindo bado mpaka jua liwake, humu Leo ndio mlinzi wa zamuDalili za upweke
Tafsiri yako finyu sana mzeeUzi wa watu wenye sonona na upweke!
Una hali mbaya aisee, sonona itoke wapi watu tumerelax Intelligent businessman anataka kuibiwa huyuUzi wa watu wenye sonona na upweke!
04:58Uzi wa watu wanaolala sebuleni Kwa ndugu zao mijini! Mtu bize mwenye majukumu lukuki unaelala kwako na mke wako huwezi kuhesabu saa kama timing bomb!
04:59Uzi wa jamii ya kina mpwayungu
Uzi wa vijana msio na kazi mtu mwenye kazi zake hawezi kukesha kwenye Uzi wa kindezi kama huu eti mtu anafurahi kuandika muda usiku wa manane 02:22 kama sio utoto ninini? Poleni sana rudini vijijini mkalime kama hamna kazi mjini!04:59
Sasa unavuka mipaka unatafuta matusi
Sawa, huu uzi unakuwashia nini mbona umekurupuka na yasiyo kuhusu?Uzi wa jamii ya kina mpwayungu
Wewe umefuata nini huku km unaona hapakuhusu si utokomee kusikojulikana umeitwa ? Muone sura bayaUzi wa vijana msio na kazi mtu mwenye kazi zake hawezi kukesha kwenye Uzi wa kindezi kama huu eti mtu anafurahi kuandika muda usiku wa manane 02:22 kama sio utoto ninini? Poleni sana rudini vijijini mkalime kama hamna kazi mjini!
Maxence Melo unamuona huyu msumbufu angepewa ban hata ya miezi 6 ingependeza sana,Childish thread with children living with their married sisters in town!
Lijamaa limekuwa stressful.Maxence Melo unamuona huyu msumbufu angepewa ban hata ya miezi 6 ingependeza sana,