zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
Sitasahau hizo mambo za kutunza,niliingia mango garden,live bend ,na ka elfu 50 kangu ka ngama,kula vyombo kidogo ,nikajikuta nimeiga kutunza ,nilitembea kwa miguu mpaka home,nimechachaaa,starehe gharamaBoss kama boss nimeimba hata hujanitunza kweli dah boss unatuangusha π π π π π π