Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Haya karibu wenye jukwaa umetukuta sisi hapsSijawahi comment jukwaa hili
Haya karibu wenye jukwaa umetukuta sisi hapsSijawahi comment jukwaa hili
Kuna mbwa pitbull,hawajalishwa chakula wiki nzima ,kwa lengo maalumu,Sasa Apo chagua wakumuaminiNataka kuleta mwenyewe polisi siwaamini
Embu back bas bantu af njoo pmSiamini niko macho na baadaye nina kikao asubuhi asubuhi 😢😢😢😢😢
Muwe na usiku mwema...
01:56
uimve wimbo mmoja wa zuchu nikutunze tenaSiamini niko macho na baadaye nina kikao asubuhi asubuhi 😢😢😢😢😢
Muwe na usiku mwema...
01:56
Kiduku wa korea kaskazini,ndio anatumiaga mbwa hao ,kuwala Wala rushwa kwenye serikali yake,wiki nzima hawapewi msosi,baada ya hapo wanatafuna mtu mpaka mtu mpaka mifupaNataka kuleta mwenyewe polisi siwaamini
Najaribu kufikilia mambo mengi wakati huu najikuta usingizi haufikiHaya karibu wenye jukwaa umetukuta sisi haps
😂😂😂 iyo kali ase mm nafuga mbwa ila nimemchoka nataka kumuuza aseKiduku wa korea kaskazini,ndio anatumiaga mbwa hao ,kuwala Wala rushwa kwenye serikali yake,wiki nzima hawapewi msosi,baada ya hapo wanatafuna mtu mpaka mtu mpaka mifupa
Mimi mlugaluga tuu chief u boss niutoe wapi?Tupo boss Mjep
Pole sana karibu hapa tuchat tucheke mwisho wa siku tutalala saa kumi saa kumi na moja tuna amka kujiandaa na pilika za juma tatuNajaribu kufikilia mambo mengi wakati huu najikuta usingizi haufiki
Boss kama boss nimeimba hata hujanitunza kweli dah boss unatuangusha 😅😅😅😅😅😅Mimi mlugaluga tuu chief u boss niutoe wapi?
Aina gani mzee ,Kama yuko fresh njoo pm na picha,ila asiwe mbwa koko😂😂😂 iyo kali ase mm nafuga mbwa ila nimemchoka nataka kumuuza ase
Mimi askari kanzu, naimarisha lindoTupooo niambie askari upanga
Hivi we askari upanga au askari kanzu?
Wakati unatumaga vocha za 5000 sita kule selfika leo umetu tembelea na sisi najua uwezi kutuacha watupuMimi mlugaluga tuu chief u boss niutoe wapi?
4 hours leftPole sana karibu hapa tuchat tucheke mwisho wa siku tutalala saa kumi saa kumi na moja tuna amka kujiandaa na pilika za juma tatu
Mbwa wapolisi mzee ameenda mafunzo vizuri anaitwa cookiAina gani mzee ,Kama yuko fresh njoo pm na picha,ila asiwe mbwa koko
Mkuu nayafuatilia mashairi yako kwa ukaribu kabisaaBoss kama boss nimeimba hata hujanitunza kweli dah boss unatuangusha 😅😅😅😅😅😅
Uwa anapenda nini sana sana bwana mkubwa4 hours left
Kibanda cha vocha kakifilisi Bantu Lady sasa nimefulia sina lolote mkuuWakati unatumaga vocha za 5000 sita kule selfika leo umetu tembelea na sisi najua uwezi kutuacha watupu