Nami nipo vema best...Upi huo? Niko poa best, sijui wewe...
Tupo boss MjepWalinzi mpoo?
Tupooo niambie askari upangaWalinzi mpoo?
Mashairo mazuri ila sauti mbaya sana 😂😂Unajionaje wewe? Na unanionaje wewe?
Mimi ndiyo tajiri wa mahaba, karibu nikutunze..
Nimefunga safari ya Tanga mpaka Mombasa... Nimefika Tawakar nakutazama nakukosa, wala sioni dalili.... simuni nakukosa....
Naambiwa hii namba unayopiga, mwenyewe kaja poswa...
Na wala mi sijali, na vyako visa visa aliyekufunda ujeuri, mwambie kwangu umefika...
Kwani binti unatakaje? Au nawewe nikuimbie kama waliokosa fadhila baadaye unikimbie? Sema binti unatakaje?Au kwingine nisivutie?
Unimiliki peke yako, niweke basi nitulie...
Na wew unaimba au unaongea embu nenda kwa boss Mjep akufundishe kuimbaMimi ndiyo tajiri wa mahaba, karibu nikutunze..
Nimefunga safari ya Tanga mpaka Mombasa... Nimefika Tawakar nakutazama nakukosa
Nyie jamani
Mi nime copy tu kutoka kwa pisi kali Bantu LadyNa wew unaimba au unaongea embu nenda kwa boss Mjep akufundishe kuimba
Masaki kinondoniUpo kihesa au mkwawa
Ngoja nisikilize mashair ila sio sauti sauti kama hamolapa 😂😂Ntakuzawadia vyote..
Pochi zenye thamani vyote...
Nawe uende kuwaringia vyote...
Utembee kwa uskani vyote...
Na vioo uwafungie vyote...
Mungu kakupa sura, kakupa shepu...nyuma chura mambo yetu mwana wa Sanura... mwenzako mimi I love you...
Umeniteka medula... niko fyetu...
Akili haina ndala iko peku...
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧
Una nini lakini Bantu LadyNtakuzawadia vyote..
Pochi zenye thamani vyote...
Nawe uende kuwaringia vyote...
Utembee kwa uskani vyote...
Na vioo uwafungie vyote...
Mungu kakupa sura, kakupa shepu...nyuma chura mambo yetu mwana wa Sanura... mwenzako mimi I love you...
Umeniteka medula... niko fyetu...
Akili haina ndala iko peku...
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧
Ndio unatufanyia madhambi kuimba namna hii kwwliMi nime copy tu kutoka kwa pisi kali Bantu Lady
Sasa uko nakuleteaje kuna miumbwa mikubwa kama mwili wangu naingiajeMasaki kinondoni
Wape police patroo,wa osterbey,watafikisha mpaka getiniSasa uko nakuleteaje kuna miumbwa mikubwa kama mwili wangu naingiaje
Nataka kuleta mwenyewe polisi siwaaminiWape police patroo,wa osterbey,watafikisha mpaka getini
Uhu wimbinsasa umeimba vizuriiiiiii njoo nikutunzeYaani kwa sauti kasema deka deka... namimi najiachia...
Kanipa shuruti la kumteka, teka silaha ...
Mbezi Kimara hunipeleka peleka mpaka mwisho hashuki... hashuki
Kiungo imara hunipenyeka penyeka
Kwa manguvu mashuti..
Kaniweka darasani, kunifundisha vizuri....
Raha kupendwa raha, jamani raha...
Naona raha.... ❤