JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hawa jamaa wanakula bando sio kawaida yaan km wanajihamishia Sina hata matumizi makubwa, yaan Jana nilikua na MB 200 niliingia YouTube nikaangalia makala Ina dakika 9 bila shida na MB zilibakia nikaongeza, Leo nmenunua MB 850 jamaa wamepita na MB 550 zimebaki 300 hii haki kweli hii? Sijaingia popote zaidi ya JF hivi kweli JF unaweza kula MB 550 kwa masaa yasiyozidi 7?
Duh ,Sasa Apo ungeangalia pilau si ungekuta zimekata
 
Hawa jamaa wanakula bando sio kawaida yaan km wanajihamishia Sina hata matumizi makubwa, yaan Jana nilikua na MB 200 niliingia YouTube nikaangalia makala Ina dakika 9 bila shida na MB zilibakia nikaongeza, Leo nmenunua MB 850 jamaa wamepita na MB 550 zimebaki 300 hii haki kweli hii? Sijaingia popote zaidi ya JF hivi kweli JF unaweza kula MB 550 kwa masaa yasiyozidi 7?
Umasikini kitu kibaya sana ona wewe unalalamika bando limeliwa la mb tena sio gb lakini kuna watu humu ana gb45 za miezi miwili tafuta pesa ndugu yangu
 
Acha uzuzu aisee sijalalamika nilikua nafanya research ya kuwabaini watu wenye visokorokwinyo km wewe na nimekukamata

Una roho ya kichawi mkuu

02:17
😂😂😂 embu vuta picha mimi masikini naona kawaida sana kuitwa mchawi mkuu nasemaje nasemaje lala au nenda utafute pesa
 
Sina mda wa kulala 24/7 nipo ON sizimi hata sekunde mpaka wameanza kunipigia ule wimbo "Siku hizi wachawi sio wazee" ameimba wozhu sijui ndio yeye hakuna kulaza damu pesa zipo tu
 
Back
Top Bottom