JamiiForums Usiku wa manane
Kuona mkeka wa voda sio solution ,maana mitandao karibu yote Sasa ,wanafuata tcra,ishu ni kuisha kwa haraka,halotel wanazingua,wananyonya mno
Halotel jau dadeq zao hapo mwanzo hawakua hivi hawa mbwa JK emu waambie Basi wasitufanyie hivyo najua unapita humu unasoma comment

02:24
 
Khaaa ivi inakuwaje mimi sijapewa Mjep boss wangu mbona umenichinjia baharini na mimi sijakukosea kitu boss 😭😭😭 nihurumie
Dah usije ukalia kaka yangu mmemfilisi kibanda cha vocha waone kwanza. Sijatumiwa wala nini, nilitaka kukurusha roho, na ukarushika... mwepesi sana wewe. Nitakutumia mimi sawa usilie mtoto mbaya eeh
 
Jiimbie mwenyewe kwani we hupendi kujiimbia

02:26
Yaani kama yangu
Nitaipata hata mkiibana
(Yaani kama yangu)
(Nitaipata hata mkiibana)
Aiii mama
Kumbe siku hizi wachawi sio wazee
(Aiii mama)
(Kumbe siku hizi wachawi sio wazee)
Nasema kama yangu
Nitaipata hata wakiibana
(Nasema kama yangu)
(Nitaipata hata wakiibana)
Aiii baba
Naona wana mapepo tuyakemee
(Aiii baba)
(Naona wana mapepo tuyakemee)
Mungu baba tusamehe tumelewa
Hii dunia kuna watu wanaboa
Mungu baba tusamehe tumekunywa
Hii dunia kuna watu wanakera
Shikilii papapapapapolipo
(Shikilii papapapapapolipo)
Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
(Kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa)
Shikilii papapapapapolipo
(Shikilii papapapapapolipo)
Wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavayo
Vaa vavavavayo
Wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavayo
Vaa vavavavayo
Mhh eeh eeh eeh
Yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana
(Kama yangu nitaipata hata mkiibana)
Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee
(Aiii mama kumbe siku hizi wachawi sio wazee)
Nasema kama yangu wataipata hata wakiibana
(Kama yangu nitaipata hata mkiibana)
Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee
(Aiii baba naona wana mapepo tuyakemee)
Mungu baba tusamehe tumelewa
Hii dunia kuna watu wanaboa
Mungu baba tusamehe tumekunywa
Hii dunia kuna watu wanakera
 
Back
Top Bottom