Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,367
- 96,651
Mbona umeng'ang'ania mi mpiga chabo 🤓🤓🤓🤓🤓🤓Bantu Lady your next, chama Cha wezi wa kimataifa, lazima kikutembelee mwizi anaye chipukia National Anthem, mpiga chaboo Poor Brain, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na chambo wa chama Cha wezi Analyse
We ndo msoma ramani was chama Cha wezi wa kimataifaMbona umeng'ang'ania mi mpiga chabo 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Nimekwambia hizo pm mpya, Utakuwa unanipa nizijibu Mimi🤣😁😎
Mkija kudakwa msinitaje kabisa....🤓🤓🤓🤓🤓We ndo msoma ramani was chama Cha wezi wa kimataifa
Navopenda kucheka Sasa 😀😀😀 watu wanavojikanyaga kunyapia nyapia 😀😀😀Nimekwambia hizo pm mpya, Utakuwa unanipa nizijibu Mimi🤣😁😎
We nope hiyo kazi, wote vijana, haina maana kunyimana 🙉Navopenda kucheka Sasa 😀😀😀 watu wanavojikanyaga kunyapia nyapia 😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣na chambo wa chama Cha wezi @Analyse
We ndo utatuchoma, maana una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikuluMkija kudakwa msinitaje kabisa....🤓🤓🤓🤓🤓
Halafu sijui kwanini, hii ID naifananisha na ID....Mbona umeng'ang'ania mi mpiga chabo 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Fukua kaburi, fukua 😎😎Halafu sijui kwanini, hii ID naifananisha na ID....
Acha basi... Tena wewe na Dj wako yuleWe ndo utatuchoma, maana una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikulu
Ngoja aje. AsemeFukua kaburi, fukua 😎😎
Weeee weeee bantu wewe.....Halafu sijui kwanini, hii ID naifananisha na ID....
Kulala ni dalili ya uogaa😎😎😁, wizi ni kazi yangu. Kulala nawaachia wenzagu 🤣🙉Acha basi... Tena wewe na Dj wako yule
Kwanza wee kweli mwizi wa kimataifa duuh mtu haulali
Mybe huko ulipo wewe majira yanasema ni day mkuu🤓🤓🤓Hadi mchana mnachat kwenyee huu uzi wakuuu??? au ndo mchana ushakua usiku
Alaaaaah na wewe una kazia kabisa dahFukua kaburi, fukua 😎😎
Sawa sawa ila usingizi ni afya ya akiliKulala ni dalili ya uogaa😎😎😁, wizi ni kazi yangu. Kulala nawaachia wenzagu 🤣🙉