Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Ankol bado naumwa, ila kwa leo kidogo afadhali. Poor Brain eti ananisubiria hapa. Hajui mwenzake naumwa huku😅😅😅 ant mzima kwanza ? Waendeleaje ?
wameniona tu, nilikuwa navunja kioo cha crown ya Analyse
Ulikuwa ndiyo kwenye harakati za kuiba? Mwizi mkuu Intelligent businessman alikuwa mitaa gani tena?