Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Amina Mungu atupe maisha marefu. Nimecheka tungeishia kuuza nyumba 😄😄😄😄😄😄Sema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaa
Amina Mungu atupe maisha marefu. Nimecheka tungeishia kuuza nyumba 😄😄😄😄😄😄Sema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaa
Nini Tena madam, au unataka ukasirike. Kama umekosa uji was msibanii🙉🙊
I mean no malice to nobody, ila ukinikera nakubabua Kama mahindi ya kuchoma.Amina Mungu atupe maisha marefu. Nimecheka tungeishia kuuza nyumba 😄😄😄😄😄😄
Bantu Lady sina ID nyingine..Si unajua ukiumwa ukorofi unazidi. Yaani mimi kwa maono yangu nazioma zile ID zako zingine mbili zenye O 🤐🤐🤐🙄🙄🙄🙄🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijal😀😀😀Nini Tena madam, au unataka ukasirike. Kama umekosa uji was msibanii🙉🙊
Naviiba Kisha namuuzia huyo huyo Bantu Lady 😁😎Na ungekua unaiba pia vitu vya ndani..🤓🤓🤓
Mkigombana suruhu yenu ni National Anthem ....Naviiba Kisha namuuzia huyo huyo Bantu Lady 😁😎
Sio kweli. Bi Mkubwa wako anakujua vizuri sana binti yake 😅😅😅Mimi Bado sijakua ujue😀😀😀
Ahahahah ujakutana na vya kukasilisha weweMm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijal😀😀😀
Real ila nikinuna nisipigiwe na nisitumiwe sms unaweza kuvunja simu 😀😀Ahahahah ujakutana na vya kukasilisha wewe
Noo, JF advanced search ndio imenisaidia. Maana nikiuliza jina uliokuwa unatumia kabla ya ili, ndio ikanionesha 😅😅😅😅😀😀Kumbe ulikuwa unajua
Nisameheee maana Leo nimeenda ugenini, Kisha nikaenda kwenye chumba.Mm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijal😀😀😀
Mimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody ☺☺☺☺☺I mean no malice to nobody, ila ukinikera nakubabua Kama mahindi ya kuchoma.
Na vyombo pia vya karibu....Real ila nikinuna nisipigiwe na nisitumiwe sms unaweza kuvunja simu 😀😀
Wamekutana sasa......🤓🤓🤓😃😂Mimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody ☺☺☺☺☺
Rafikiyangu yaani ananielewa vibaya sanaSio kweli. Bi Mkubwa wako anakujua vizuri sana binti yake 😅😅😅
Sivunji mm atapokea sms ndo atavunja navoandika magazet😂😂😂Na vyombo pia vya karibu....
Wenzako wanalia tuu inaisha,,
iyo ya kuvunja vitu hiyo 🤓🤓🤓😂
Mfukunyuku😂😃🤓🤓🤓🤓👆👆Noo, JF advanced search ndio imenisaidia. Maana nikiuliza jina uliokuwa unatumia kabla ya ili, ndio ikanionesha 😅😅😅😅
Umekunywa gongo mzee😀😀Nisameheee maana Leo nimeenda ugenini, Kisha nikaenda kwenye chumba.
👉Nikakutana ka mtungi kadogo keupe, nikawaza🤔 yaani wanaficha maji hukuuu ehh
👉Kuwakomesha nikaona niyanywee, dah ni machachu hayo Kama ndimu aisee🙉🙊😁🤣 Aaliyyah
Nikitoka hapo, nakufinyanga Kama tonge la ugali, kiSha nalitupa liliwe na paka.Mimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody ☺☺☺☺☺
Mkeka usio pungua maneno 1700.Rafikiyangu yaani ananielewa vibaya sana
Sivunji mm atapokea sms ndo atavunja navoandika magazet😂😂😂