JamiiForums Usiku wa manane
Screenshot_20230316-041253_Weather.jpg
 
🤣🤣🤣Bado pishi linapikwa,halijaiva vyema.Watatuliza tu Mdomo.
Ee bhana wee,tuachane na washakunaku.....ngoja nikugee mkanda Fulani about myself
Si nilikuwa nauguza,bibi alikuwa kwenye critical condition....lakini Mungu wa huruma kamwinua tena,.,....sasa Ile furaha si ikataka kuniponza🙄
Kwenye pishi ukihitaji viungo nipo😂😂😂😂 kabisa mwaka huu mdomo mdomo mwisho. Enhee nipo dear...
 
Sawa cute,si unajua Kuna game tulikuwa tunacheza humu for one man with 7 women🤣🤣🤭...mi nimejitoa japo lilikuwa ni game sweet&tough ila nimejiweka Kwa kando nione nani ni the winner Kwa 6 waliobakia ,.....nitakushtua Ili tushiriki mchango wa harusi...kiroho safi😂😉
Kidume anajiweza 7 duh. Kwenye game wote mnajuana? Jambo la kheri hilo, tutachanga mrembo wangu, usijali kabisa. Yetu macho 👀
 
Back
Top Bottom