Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
🤣🤣🤣🤣Kuna wanaume ni wanaume ...💪Kidume anajiweza 7 duh. Kwenye game wote mnajuana? Jambo la kheri hilo, tutachanga mrembo wangu, usijali kabisa. Yetu macho 👀
🤣🤣🤣🤣Kuna wanaume ni wanaume ...💪Kidume anajiweza 7 duh. Kwenye game wote mnajuana? Jambo la kheri hilo, tutachanga mrembo wangu, usijali kabisa. Yetu macho 👀
Hakika na huyu ni mmoja wao. Siyo mchezo aisee...🤣🤣🤣🤣Kuna wanaume ni wanaume ...💪
🤣🤣🤣👋👋Hakika na huyu ni mmoja wao. Siyo mchezo aisee...
Na hajali wala nini ukute, kama siyo yeye 😅😅😅😅😅🤣🤣🤣👋👋
Mtajua nyinyi mlionikubalia Mimi si natumia kiungo changu🤒Na hajali wala nini ukute, kama siyo yeye 😅😅😅😅😅
Nawasikiaga tu wa aina hii. Kweli wapo bana. Mwanzo ulijua karembo? Au ulijikuta tayari ushaingia na ndiyo ukayajua? Pole ila tunaishi kwa kujifunza kila siku.Mtajua nyinyi mlionikubalia Mimi si natumia kiungo changu🤒
Sikujua kitu na nikazama balaa,umbali umenisaidia maana ningekuwa dar ningeshatafunwa.....nikashangaa inbox zimeanza kujaa😳🙋Nawasikiaga tu wa aina hii. Kweli wapo bana. Mwanzo ulijua karembo? Au ulijikuta tayari ushaingia na ndiyo ukayajua? Pole ila tunaishi kwa kujifunza kila siku.
Shukuru sana Mungu, umbali maana ulivyozama halafu ungemegwa wee ingekuuma sana.Sikujua kitu na nikazama balaa,umbali umenisaidia maana ningekuwa dar ningeshatafunwa.....nikashangaa inbox zimeanza kujaa😳🙋
Sana,na nilimpenda pamoja na mapungufu yake nilijua atatulia🙄Shukuru sana Mungu, umbali maana ulivyozama halafu ungemegwa wee ingekuuma sana.
Bora hivi ulizama, itapotea taratibu. Mimi najua hii sisi wanawake, mara nyingi tukipenda tunapenda kweli.
Huwa tunawaza hivyo, kuwa huyu anaweza kubadilika.Sana,na nilikupenda pamoja na mapungufu yake nilijua atatulia🙄
Hakika nililiona hilo...Huwa tunawaza hivyo, kuwa huyu anaweza kubadilika.
Niliwahi soma sehemu, walisema mwanaume hubadili tabia, kwa mwanamke anayempenda.
Kwahiyo unaweza kuwa na vigezo vyote, upendo na mapenzi. Mwanaume habadiliki. Anakuja kubadilika kwa mwanamke mmoja anayempenda.
Mshukuru Mungu, hujui pia amekuepusha na nini. Wakati mwingine huwa tunasononeka, lakini Mungu anakuwa na makisudi yake. Tushukuru kwa kila jambo.Hakika nililiona hilo...
Amina ...saivi nimeona nibaki na anayenipenda japo ni ngumu kuwa kwenye same feelings naeMshukuru Mungu, hujui pia amekuepusha na nini. Wakati mwingine huwa tunasononeka, lakini Mungu anakuwa na makisudi yake. Tushukuru kwa kila jambo.
Naimani utapata tu, yule wa moyoni mwako. Na utajishangaa ulikuwa unaumia nini. Mungu ni mwema sana.
Pia husemwa kwenye mapenzi, akupende yeye si umpende yeye zaidi.Amina ...saivi nimeona nibaki na anayenipenda japo ni ngumu kuwa kwenye same feelings nae
Amina,hakika Mungu ni mwema....acha nitulie naePia husemwa kwenye mapenzi, akupende yeye si umpende yeye zaidi.
Hii nzuri, kwa upendo wake na mapenzi yake kwako. Utajikuta nawewe unaanza mpenda taratibu.
Mpe muda, mawazo ya mapenzi wekeza kwake. Utampenda tu, kuna wakati hatuoni tunapopendwa, tunaangalia tunapopenda. Inatuumiza.
Banaaa weee nipo .. jana nilikamatwa na askari doria.. ndio Bantu Lady na Dahan Wamekuja nitolea mdhana 😊😊Wana mambo mengi mnoooo......
National Anthem yupo wapi nae...?
Mwizi anaye chipukia National Anthem mimemtumaa akatafute hell ya rejesho. Maana tuna mkopo katika chama Cha wezi wa kimataifa Aaliyyah ona hii
Ankol wewe ulikuwa unamendea nini usiku wa manane? 😄😄😄😄😄Banaaa weee nipo .. jana nilikamatwa na askari doria.. ndio Bantu Lady na Dahan Wamekuja nitolea mdhana 😊😊
😅😅😅 ant mzima kwanza ? Waendeleaje ?Ankol wewe ulikuwa unamendea nini usiku wa manane? 😄😄😄😄😄