JamiiForums Usiku wa manane
Weeee weeee bantu wewe.....
Bantu Lady ushapata nafuu sasa unaanza kufananisha ID
Nimecheka eti nimeshaanza pata nafuu. Bado naumwa. Ila kusema ukweli hii ID yako hii mmmh basi acha nimezee. Nafananisha na ID zingine mbili zenye O O πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Koh koh koh hapana bantu...
Mi ni hi hi sina nyingine
 
So wengine tumefunga ndoa na ndoto, malengo na starehe zetu😁😎. I mean no malice to nobody
Kuna watu JF wako kupangia wengine maisha. Fanya hiki fanya kile, uliza maisha yao sasa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ». Mimi hapana kwa kweli, huwa nafanya nachojisikia kwa kweli. Nimeshindikana anayeniweza ni my Man tu. Naye ni vile kapenda hana jinsi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaa
 
Bantu Lady wee sio mgonjwa wala nini...
Wagonjwa sio wakorofi hivoπŸ€“πŸ€“πŸ€“
Si unajua ukiumwa ukorofi unazidi. Yaani mimi kwa maono yangu nazioma zile ID zako zingine mbili zenye O πŸ€πŸ€πŸ€πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Back
Top Bottom