Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Qul baiyana...🤓🤓🤓😀😀😀Au ndo kusema ulichopewa na Mungu kumnyima mwenzio dhambi😀😀😀
Qul baiyana...🤓🤓🤓😀😀😀Au ndo kusema ulichopewa na Mungu kumnyima mwenzio dhambi😀😀😀
Mi ni balozi... 🤓🤓🤓Kitengo ganiii, au mpiga chaboo wa kimataifa??
Huku utacheka mpaka ujikojolee😁🤣Nyie bhana 😂😂
Anatania sio kwamba kweli mi mpiga chabo..Nyie bhana 😂😂
🤓🤓🤓 Una experienceHuku utacheka mpaka ujikojolee😁🤣
Mwizi anaye chipukia National Anthem mimemtumaa akatafute hell ya rejesho. Maana tuna mkopo katika chama Cha wezi wa kimataifa Aaliyyah ona hiiWana mambo mengi mnoooo......
National Anthem yupo wapi nae...?
Akipita huku jf usiku wa manane itakua poa sana..mida hii ndio Mh.mama Samia anapitia Jf na kusoma utopolo mnaondika humu
Ya kuwakojolesha watu au??😁🤣🤓🤓🤓 Una experience
Una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikulu 😁🙉Anatania sio kwamba kweli mi mpiga chabo..
Niliachaga huo mchezo🤓🤓🤓
Experience ya wewe kama weweYa kuwakojolesha watu au??😁🤣
Chabo sipigi sa hivi..Una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikulu 😁🙉
Labda ya kuibaa, coz Mimi intelli ni mwizi wa kimataifa tu.Experience ya wewe kama wewe
Dahh, una kataa akati we ndo msoma ramani was chama Cha wezi wa kimataifa.Chabo sipigi sa hivi..
Now tupo digital zaidi an
Daaah aiseeeule uzi ni wa wanzinzi tupu, hauna udhu!!
Wizi huo iba vya wanyama sio vya watu 🤓🤓🤓Labda ya kuibaa, coz Mimi intelli ni mwizi wa kimataifa tu.