Kweli 7up maana so kwa kiputa like walichopelekeshwa nacho. Ingawa R. Madrid alichana mkeka wangu kwa kutoa draw Ila nilikuwa na furaha sana juzi😆😆Sio hamsa mkuu ni 7up
Ikifika mida flani ya saa nane au tisa usiku lazima usingizi ukatike nabaki Macho mpaka saa 11 asubuhiYaani wee unalalaga tu.. au sijakuelewa bado mkuu
Mzima Kabisa...vp mkuu?Bantu Lady To yeye mlipo huko ni wazima,salumu toka upande huu
Kuna jukwaa nilikuwepo watu walikuwa wana ku discuss mkuu 😒
Oya morning glory iyooMida yetuu.. mida yetuu😂😂😂👍
Ilikuwa nifungishwe nimetoka nduki aisee kama mshale 🤣🤣🤣Hizi tetesi kwamba Mzee wa kupambania kafungishwa ndoa ya mkeka ni za kweli?
Jukwaa gani hilo chiefKuna jukwaa nilikuwepo watu walikuwa wana ku discuss mkuu 😒
🤣🤣🤣 hatimaye na mimi nimefikiwa kutoka kuwa kibaka mpaka kuwa kundi moja na mshua Bantu LadyNdo aje hiii... Unataka nifukuzwe kazi na Bantu Lady Intelligent businessman National Anthem Kanali G Mr kenice tchaot Mzee wa kupambania To yeye Mwachiluwi Half american Analyse Iceberg9 Uchira 1 Tombilo Poor Brain ..😂😂😂
Haya mambo lazima uwe na plan B likitokea la kutokea unajinasuaje 😀Mimi nilitaka usikumbuke mpak ufumaniwe
Wewe rafiki yangu kuna siku utagandishwa kitandani oh oh 😂😂 achana na wake za watuHaya mambo lazima uwe na plan B likitokea la kutokea unajinasuaje 😀
Taarifa zilizopo zinasema ndoa ilifanikiwa kufungishwa 😅😅😅Ilikuwa nifungishwe nimetoka nduki aisee kama mshale 🤣🤣🤣
Yeye anajaribu kukanusha 😅😅Kweli![]()
Uchoki..!!Mida yetuu.. mida yetuu😂😂😂👍
Itakua mida hiyo ulizoea kuwa machoIkifika mida flani ya saa nane au tisa usiku lazima usingizi ukatike nabaki Macho mpaka saa 11 asubuhi
Wamefeli bana wamekutana na kibaka kawazidi maarifa 🤣Taarifa zilizopo zinasema ndoa ilifanikiwa kufungishwa 😅😅😅