Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Hiyo itakuwa ni ajali kazini 🤣🤣🤣Wewe rafiki yangu kuna siku utagandishwa kitandani oh oh 😂😂 achana na wake za watu
Hiyo itakuwa ni ajali kazini 🤣🤣🤣Wewe rafiki yangu kuna siku utagandishwa kitandani oh oh 😂😂 achana na wake za watu
Hongera sana master 😅😅😅Wamefeli bana wamekutana na kibaka kawazidi maarifa 🤣
Oo:54..team popo [emoji102]
Haiwezekan😂😂mapema sanaa jaman hebu mkujee huku Intelligent businessman Half american Tombilo Analyse Kanali GNaona wamelala
Usingizi hauwezi kuja. Muda bado, popo wale, bundi tunakesha 😅😅😅Haiwezekan😂😂mapema sanaa jaman hebu mkujee huku Intelligent businessman Half american Tombilo Analyse Kanali G
Nipo liveHaiwezekan😂😂mapema sanaa jaman hebu mkujee huku Intelligent businessman Half american Tombilo Analyse Kanali G
Bantu Lady Mr kenice tchaot Uchira 1 National AnthemUsingizi hauwezi kuja. Muda bado, popo wale, bundi tunakesha 😅😅😅
Hapa kama uwanja wa fisi. Tunaweka taarifa ya habari ya saa mbili usiku, ili muda uonekanr mapema 😅