Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,886
Ngoja nikapambane na usingizi; sikununua godoro kuwa pambo la ndani 😀😀
Mafekechele😂😂😂Ila mna muda wa kufanya nini?
Sie godoro tunatumia moningii mda wa mg😂😂Ngoja nikapambane na usingizi; sikununua godoro kuwa pambo la ndani 😀😀
hivyo ni viporoSie godoro tunatumia moningii mda wa mg😂😂




Wanaolala mezani je 🤔🤔Kazi ya kitanda ni kukilalia, angalau masaa nane kwa siku; kama hukilalii kakipige mnada
Usiutafute huu ndo muda muafaka wa kutafakari maisha yako hivyo sio mbaya
hahahahaSie godoro tunatumia moningii mda wa mg😂😂
njoo tulale huku tuna linda02:33👍
Ohoo unataka watu waibiwe mkuu😂njoo tulale huku tuna linda
tunawalindia kikubwaOhoo unataka watu waibiwe mkuu😂
Ndo aje hiii... Unataka nifukuzwe kazi na Bantu Lady Intelligent businessman National Anthem Kanali G Mr kenice tchaot Mzee wa kupambania To yeye Mwachiluwi Half american Analyse Iceberg9 Uchira 1 Tombilo Poor Brain ..😂😂😂tunawalindia kikubwa
hao uliowataja wote,mie ndo boss waoNdo aje hiii... Unataka nifukuzwe kazi na Bantu Lady Intelligent businessman National Anthem Kanali G Mr kenice tchaot Mzee wa kupambania To yeye Mwachiluwi Half american Analyse Iceberg9 Uchira 1 Tombilo Poor Brain ..😂😂😂
Kwaio mkuu nikalale sio😂hao uliowataja wote,mie ndo boss wao
Tombilo ni mimi 😒Ndo aje hiii... Unataka nifukuzwe kazi na Bantu Lady Intelligent businessman National Anthem Kanali G Mr kenice tchaot Mzee wa kupambania To yeye Mwachiluwi Half american Analyse Iceberg9 Uchira 1 Tombilo Poor Brain ..😂😂😂