JamiiForums Usiku wa manane
Leo naogopa ogopa

My mom kanambia jana nilikua na 'self talk night' nimekua so thrilled

Room kwangu napaogopa nipo tu huku sebeleni nawaza nafanyaje

Hii ya kuongea hii hata mimi hunitokea mama watoto anasema unapayuka unataka kuchinja mtu nikasema sio mimi kuna siku akanirecord
 
Back
Top Bottom