Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,754
- 10,031
Enhee ikawaje[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii ya kuongea hii hata mimi hunitokea mama watoto anasema unapayuka unataka kuchinja mtu nikasema sio mimi kuna siku akanirecord [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Share mkuu