Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,816
Mambo mengii wewee kama unga wa ngano😂😂Unahangaika sana tatizo loh😂
Kwani unga wa ngano una move 🤔🤔🤔🤔 kwanzia lini una miguu kwaniMambo mengii wewee kama unga wa ngano😂😂
Alafu mbona umeji quote na ukaji reply 😹😹😹Mambo mengii wewee kama unga wa ngano😂😂
nakusubiri,tulaleKwaio mkuu nikalale sio😂
hilo ni sanamu au mtu?
Tupo jana na leoHello team
00:06 mmemisiwa wotee humu..![]()
Sisi tungepona,yalikuwa yanavizia watu usiku usingiziniKuna enzi yalivuma sana mapopo bawa sijui yanaitwa hivyo yaliingia mjini yakasumbua sana vijana
Anza kutembea na kilainishiNa sisi tunaotembea na wake za watu vipi mama glory wanguna natafuna pesa zake na papuchi juu
![]()
Mimi siyo boss wala sina uboss wowoteKadri siku zinavyo zidi kwenda lindo lina changamka natamani na sisi huku kusipoe watu wazidi kuwa kama woteau tuanze na offer za vocha nini kama boss mjep wa selfika!?
Una tabia mbaya, umeniacha mimi tu😫Ndo aje hiii... Unataka nifukuzwe kazi na Bantu Lady Intelligent businessman National Anthem Kanali G Mr kenice tchaot Mzee wa kupambania To yeye Mwachiluwi Half american Analyse Iceberg9 Uchira 1 Tombilo Poor Brain ..😂😂😂
Pole mkuuKukesha msibani na kusinzia kwenye gari siji kurudia tena😏😌
Haha jinsi Man U alivyopigwa hamsa hamsa🤣🤣🤣Pole mkuu
Mimi nimekesha nikirudia kutazama marudio ya mechi ya Livepool na MAN U
Sio hamsa mkuu ni 7upHaha jinsi Man U alivyopigwa hamsa hamsa![]()