Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,205
- 7,771
Hata mimi nishakua addicted yaani mpaka saa tisa usiku ndo nahisi usingizi ila nikisema nilale mapema labda saa tano ntagalagala hapo lakini usingizi hauji ng'oo unaamua uamke the ukesheUutoe wapi wakati mwili umeshauzoesha lazima ikifika mida fulani uamke


