Sandy360
Senior Member
- Nov 7, 2022
- 152
- 211
Sandy kichwa kinauma[emoji28][emoji28] mikono juu
Bora kingekua kinaumaa ucngz haupo nakuanza kifikialia ya dunia [emoji2362]
Sandy kichwa kinauma[emoji28][emoji28] mikono juu
Yes mkuu you train your mind kuwa hivo,una uwezo wa kuibadilisha pia,kuna kipindi niliamua kulala mapema around saa tano niwe nimelala dah huwezi amini ikawa ikifika saa tano nakua very sleepy mixer kusinziaHii kitu ni noma sana ni kama madawa ya kulevya ,mimi hii mida ni lazima nitasikia namna tu nistuke kama sio short call basi tu kitu kimeanguka nikisikie
Leo nina kipengele yan😔Unapata kitu night glory
Ya dunia huwezi yamaliza ni mengiBora kingekua kinaumaa ucngz haupo nakuanza kifikialia ya dunia [emoji2362]
But shift ni muhimuuKukesha tu...
Yeah ni kweli ila sio kama hawalali completely kama wanavosema motivational speakersKumbe hujajua mkuu, hakuna watu wana stress kama matajiri wanajinyima vingi muda wao mwingi anawaza ku maintain biashara ifanye vizuri ni ndiyo ameajiri lakini wao ndiyo hawapati usingizi
Malaika hao hawajapata kausingizi,halafu usiwaite vifaranga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa sipentiii kabisaLeo nina kipengele yan[emoji17]
Ya dunia huwezi yamaliza ni mengi
Huo ndiyo ukweli hawaongie uongoYeah ni kweli ila sio kama hawalali completely kama wanavosema motivational speakers
Nikiwa macho kama saiv ndo naangalia habari mkuu,hawa jamaa wako full package sio kama habari zetu huku za bongo kina Joji marato[emoji28]Umewezaje nikuige mkuu,yani umeamka uangalie habari CNN,BBC
Ni huzuniiiii mno[emoji2304]
Nenda joggingNi huzuniiiii mno[emoji2304]
Nikiwa macho kama saiv ndo naangalia habari mkuu,hawa jamaa wako full package sio kama habari zetu huku za bongo kina Joji marato[emoji28]
Amani ya bwana ikae nafsini mwako,shetani asipate nafasi kuusumbua moyo
Nenda jogging
Vifaranga oyeee 🤣🤣🤣Leo nina kipengele yan😔
Inapunguza stressJogging tena[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Exactly..Top quality stuffsVingi vya Kujifunza pitia hizo media
Msiwate wana wa Mungu malaika vifaranga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vifaranga oyeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inapunguza stress