Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Na kwako pia Mungu akakuongozeSaf kbsa ukawe na siku njema
Na kwako pia Mungu akakuongozeSaf kbsa ukawe na siku njema
Mambo?Mahidhurio si mabaya.
Leo nimemwona nana_ ola mtaalamu wa dawa za usingizi Mwachiluwi yupo kweli na yule mzee wa sindano To yeye Mzee wa kupambania upoo?
NImehakiki na majina nimeita twendelee na kaz
Ananionea tuu huyu mkuu.. 😂Dahan kaanza lini kuwa mcharuko?
Nakuomba usimfukuze kazi Intelligent businessman ofisi itayumba sana, ndio mfanyakazi wako bora kwa sasa akifuatiwa na mimi🤣🤣🤣Intelligent businessman nakufukuza kazi, Boss nimetangulia wewe uko wapi? Dahan Mwachiluwi Ankol National Anthem miss you Akol
Mzee wa kupambania 😄😄😄😄
Nipo mkuu Uchira 1 leo nilikuja kufanya ukaguzi wa kushtukiza mida ya saa 8 usiku si haba nikawakuta Analyse Kanali G Mkalimani wa Bibi Midnight walker Intelligent businessmanMahidhurio si mabaya.
Leo nimemwona nana_ ola mtaalamu wa dawa za usingizi Mwachiluwi yupo kweli na yule mzee wa sindano To yeye Mzee wa kupambania upoo?
NImehakiki na majina nimeita twendelee na kaz
Si haba usiku wa kuamkia leo kazi haikuwa mbaya. Ngoja nikatafute supu ya kuku wa kienyeji 😅Mzee wa kupambania Yuko kazini mida hii na boda boda yake, anategea walevi 😅😅
Naaam mkuu mimi nipo nilipitia mida ya saa 8 nikaona maboss mna maongezi nikaona itifaki izingatiwe nikaingia kupambania na boda yangu 🤔Aisee naona leo absentees ni wengi mnoo kuanzia boss zigoo Bantu Lady, mwizianayechipukia National Anthem, don miyeyusho Mwachiluwi, Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, na mr maviolence a.k.a don Mafian cartel
Mungu mkubwa, upo salama 😅😅😅Nipo mkuu Uchira 1 leo nilikuja kufanya ukaguzi wa kushtukiza mida ya saa 8 usiku si haba nikawakuta Analyse Kanali G Mkalimani wa Bibi Midnight walker Intelligent businessman
Walevi wanajuta Giza likiingia 😅😅😅Si haba usiku wa kuamkia leo kazi haikuwa mbaya. Ngoja nikatafute supu ya kuku wa kienyeji 😅
Na bado huu mwanzo tu 😅Walevi wanajuta Giza likiingia 😅😅😅
Nipo hapa nafurahia kula kazi ya mikono yangu. Mchumia juani hulia kivulini badae nitawabless snap it show it 🤣🤣🤣Mungu mkubwa, upo salama 😅😅😅
😅😅😅😅 Kuna utakutana na mlevi bondiaNipo hapa nafurahia kula kazi ya mikono yangu. Mchumia juani hulia kivulini badae nitawabless snap it show it 🤣🤣🤣
Mwanzo wa mwisho 😅😅Na bado huu mwanzo tu 😅
Sasa sie wengine si walinzi😂😂Mn
Mnastahili upendo. Ila ndio akuchatishe usiku wa manane? 😅😅
Walinzi muda huu ndio tumelala. Palina Uchira 1 na Midnight walker huwezi waona mpaka mchana au jioni usingizi ukipungua 😅😅Sasa sie wengine si walinzi😂😂
Hiyo ofisi ya Bantu Lady unakesha ila mishahara midogo sana lazima ujiongeze 🤣🤣🤣Mwanzo wa mwisho 😅😅