JamiiForums Usiku wa manane
Ufanisi na utendaji wa kazi unapungua Kwa sababu ya kukosa usingizi usiku , wakati wa kazi usingizi kama wote. Pia sio mlevi ni mnywaji wa konyagi Moja kubwa na kwenda kulala mkuu

Toka Nimeacha leo ni siku ya tisa ila usingizi umekuwa kama movie za kusadikika.
Hiyo Hali hutokea kutokana na mwili kubadilissha mazingira iliyoyazoea
👉Kuna kitu kinaitwa stimulus au reflex action.

Badala ya kunywa pombe, unaeza kunywa supu ya nyanya au chai hii itasaidia
👉Kula mapema kama saa 2 na 30, Kisha tulia kidogo, kuuruhus mwili uachie.
👉Anza kufanya mazoezi jioni ili kuupa mwili motisha na kuuchosha pia.
👉Kunywa maji ya kutosha
👉Achana na mawazo ya kusema kuwa hauwezi kulala bila pombe mkuu, impossible is a state of mind
 
Back
Top Bottom