Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,698
Mzee wa kupambania Yuko kazini mida hii na boda boda yake, anategea walevi 😅😅Mahidhurio si mabaya.
Leo nimemwona nana_ ola mtaalamu wa dawa za usingizi Mwachiluwi yupo kweli na yule mzee wa sindano To yeye Mzee wa kupambania upoo?
NImehakiki na majina nimeita twendelee na kaz