Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 5,536
- 9,336
Bantu Lady anatumikia ndoa muda huu 😅😅😳 Miss sna asee Dahan Bantu Lady ect ....
00340033
Aah dada wa kitanga kashindwa kukupa usingizi etiBantu Lady anatumikia ndoa muda huu 😅😅
Kumbe ni new monthHuu mwezi mpya naacha madhambi in Gods name amen
🙌
😅😅😅😅 Niko alone, bored withno companyAah dada wa kitanga kashindwa kukupa usingizi eti
Kulikoni leo na ww upo lindo? 😅😊00:37
Asee nakubali.Kuzamapo kwa jua, mwanzo wa siku nyingine
Pole sana karibu chamani😅😅😅😅 Niko alone, bored withno company
😂😂 acha kabisa…..madeni na usingizi havipataniKulikoni leo na ww upo lindo? 😅😊
Nipo nalinda forum yetu isiibiwe 😅😅😅.Pole sana karibu chamani
Nabebishwa hapa meanwhile nspitapita na humu kucheck check 😃Why upo macho time hii?
😅😅😅😅 Acha mkuu, madeni ni noma. Kuna kipindi fulani baba mwenye nyumba wangu alipigiwa kelele ya mwizi, maana alikutwa anachungulia dirishani kwangu, raia wakahisi anataka kuchana nyavu. Kumbe Mzee alikuwa anasikilizia kama nipo au la? Maana ananidai alaf nilikuwa nampiga chenga sana 😅😅😅😂😂 acha kabisa…..madeni na usingizi havipatani
Una date na mlinzi? Mbona halali? 😅😅😅Nabebishwa hapa meanwhile nspitapita na humu kucheck check 😃