Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Muda badoo.. 😂😂
Muda badoo.. 😂😂
😅😅😅😅 Mida ndio hii weweMuda badoo.. 😂😂
Mida yetuuuu😂😂😂😅😅😅😅 Mida ndio hii wewe
Ndio
Wazee wa midaWalinzi muda huu ndio tumelala. Palina Uchira 1 na Midnight walker huwezi waona mpaka mchana au jioni usingizi ukipungua 😅😅
Wapo vzuriNipo mkuu Uchira 1 leo nilikuja kufanya ukaguzi wa kushtukiza mida ya saa 8 usiku si haba nikawakuta Analyse Kanali G Mkalimani wa Bibi Midnight walker Intelligent businessman
Poa vipMambo?
Ndioo😂Kuna mtu anajua huu mzigo
Chat.openai.com 🤔
Mmmmh mdada kama ww umeijuaje 🤔🤔🤔🤔🤔. Au ww unajua jua haya mambo ya IT unanichoraga tu sio eeeh 🤣Ndioo😂
Nina kilo 90, so lazima niwe mzitoo. Maana Sina demu so mzigo lazima ujaeeWatu wazito nyinyi
Mdada haaruhusiwi kujua vitu kwani? 😂Mmmmh mdada kama ww umeijuaje 🤔🤔🤔🤔🤔. Au ww unajua jua haya mambo ya IT unanichoraga tu sio eeeh 🤣
Arsenal bingwa, halaand kiatuHii man utd ni hatari
00:40
upo sahihi mimi ni shabiki wa arsenal ila hii man utd ipo vizuri, kwenye FA tayari kampiga westhamArsenal bingwa, halaand kiatu
Sio hivyo ila nimeshangaa tu 😑Mdada haaruhusiwi kujua vitu kwani? 😂