01:14No retreat no surrender 01:13
me too 🥺Nalazimika kulala ili nisimalize chaji, 'taanesiko' wameuchukua muda huu
Aisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salama😜, so mi nipo nyuma yakooIntelligent businessman nakufukuza kazi, Boss nimetangulia wewe uko wapi? Dahan Mwachiluwi Ankol National Anthem miss you Akol
Mzee wa kupambania 😄😄😄😄
Nyuma tena??Aisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salama, so mi nipo nyuma yakoo
Hapo kwenye zigo ufafanuzi mkuu samahani lakiniAisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salama😜, so mi nipo nyuma yakoo
Dogder 😶No retreat no surrender 01:13
My boss Bantu Lady anajua ni zigoo lipi. Maana ana kifundoo hichooHapo kwenye zigo ufafanuzi mkuu samahani lakini
Ndo maelekezo Bantu Lady aliyonipa,eti nikae nyuma ili nilinde zigoooNyuma tena??
01:30
Kama ikimpendeza na Mimi anipe hayo majukumuMy boss Bantu Lady anajua ni zigoo lipi. Maana ana kifundoo hichoo
Achana nazo, kumbuka unaelekea sehemu sahihi so vumilia kuacha pombeeNirudi kwenye TBL sasa toka nimesitisha huduma Yao na usingizi umenisitishia huduma ya kulala kwa wakati sahihi😎😎😎
Utakuwa umerogwa na makerubii weweKama ikimpendeza na Mimi anipe hayo majukumu
Asante , baada ya likizo bila malipo nimegundua lindo linanifaa sana😊😊😊😊tchaot karibu kwenye familia ya JF usiku wa manane 😊😊😊😊
Nipo MkuuDogder![]()
Ufanisi na utendaji wa kazi unapungua Kwa sababu ya kukosa usingizi usiku , wakati wa kazi usingizi kama wote. Pia sio mlevi ni mnywaji wa konyagi Moja kubwa na kwenda kulala mkuuAchana nazo, kumbuka unaelekea sehemu sahihi so vumilia kuacha pombee