JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!

ECDC047F-644E-4306-874A-EC7A87485C5B.jpg
 
Huyo Bantu Lady kashindwa hata kuingia ndani, kalala mlangoni. Mzee wa kupambania ni mkabaji, anaishi kwa nguvu za macho na mikono, mtaji mbio. Mida hii utamkuta daraja la mfugale,anategea walevi 😅
Yap ndo zile pigo za panga mkononi, roho begani. Ukipata fresh ukidakwa ndo imeisha iyoo
 
Back
Top Bottom