JamiiForums Usiku wa manane
FB_IMG_16772499031920206.jpg
 
That experience, haiwezi kamwe fanana na ya Iceberg9 au na mtu yoyote so matatizo hayafanani mkuu, pia tambua hatuwezi kuishi kwa kuwa mtu fulani mbona anaishi hivi,mbona matajiri hawaoi je wewe ni tajiri ili uishi kama wao,huenda wanasababu zao hata ukiisikikiza ukashangaa ,,

Jaribuni kupata watu sahihi wa kuwaoa ndoa ni nzuri ukimpata mtu mtulivu wenye malengo na upendo ,usikuvu ,self discipline ,uchaji wa roho,na hawa watu wapo
Unaju ndoa ni kama maisha tu

Watu wanaigana wakati kila mtu amezaliwa na swali lake
 
That experience, haiwezi kamwe fanana na ya Iceberg9 au na mtu yoyote so matatizo hayafanani mkuu, pia tambua hatuwezi kuishi kwa kuwa mtu fulani mbona anaishi hivi,mbona matajiri hawaoi je wewe ni tajiri ili uishi kama wao,huenda wanasababu zao hata ukiisikikiza ukashangaa ,,

Jaribuni kupata watu sahihi wa kuwaoa ndoa ni nzuri ukimpata mtu mtulivu wenye malengo na upendo ,usikuvu ,self discipline ,uchaji wa roho,na hawa watu wapo
Sawa mkuu iceberg9 sipingi ila pia watu hao ni focused kweli kweli kwenye fani zao yaani haswa hata putin aliwahi hojiwa akasema mkewe alimuacha kipindi hicho kisa jamaa alikuwa mtu wa kaxi sana

Hivyo kwa mwanaume ukikataa ndoa kama mimi inabidi uwe workeworm upige kaxi kwelikweli mpaka mawazo machafu ya uzinzi yakutoke

Na usaidie jamiii yako

Nami nafuata nyayo tuuuuu mkuuu
 
Wanawake wamekuwa matapeli bro kumpta atakae kupnda kiukweli n ngumu unaweza ishi nae kumbe ni muke ya mutu
Shida si mnachagua wapenda starehe maslay queen na hela zikiisha wanawakimbia au wanatoka njee ,mindset tuzibadilishe na tuongeze umakini kwenye swala la ndoa sio kila mtu anafaa kuoa kuna mdau amesema hapo juu
 
Nimehudhuria nyingi sana last year kama 9 hivi sema 79% ni vilio after 8 mths

Sema uzuri nabebaga ma carton ya ma juice ya ceres yale kama 6 hivi hivyo wananisaidiaga kusave hela yangu ya kununua juice daily

I'm not jocking all
Kwaio harusi 9 ndo nyingi? We nae😂😂😂
 
You are absolutely right, ili uepukane na uzinzi inakubidi ujifunze au ufocus zaidi katika maisha au kazi zako.

Angalia watu wengi waliofanikiwa, utasikia aidha kaoa na kuacha au yupo na mchumba na watoto bila ndoa. Eg, Elon musk,Jeff bezos,cr7,

Tena unaeza kuwa unafanya mazoezi ya no fap
Sawa mkuu iceberg9 sipingi ila pia watu hao ni focused kweli kweli kwenye fani zao yaani haswa hata putin aliwahi hojiwa akasema mkewe alimuacha kipindi hicho kisa jamaa alikuwa mtu wa kaxi sana

Hivyo kwa mwanaume ukikataa ndoa kama mimi inabidi uwe workeworm upige kaxi kwelikweli mpaka mawazo machafu ya uzinzi yakutoke

Na usaidie jamiii yako

Nami nafuata nyayo tuuuuu mkuuu
 
Sawa mkuu iceberg9 sipingi ila pia watu hao ni focused kweli kweli kwenye fani zao yaani haswa hata putin aliwahi hojiwa akasema mkewe alimuacha kipindi hicho kisa jamaa alikuwa mtu wa kaxi sana

Hivyo kwa mwanaume ukikataa ndoa kama mimi inabidi uwe workeworm upige kaxi kwelikweli mpaka mawazo machafu ya uzinzi yakutoke

Na usaidie jamiii yako

Nami nafuata nyayo tuuuuu mkuuu

Ni kweli ukiwa busy sana huwezi kuwaza wanawake ,

Labda nachokiona hasa matajiri hawaoi kwasababu mwanamke atampendea jamaa pesa zake so wanajiona katika eneo hilo kumpata mtu sahihi ni vigumu ukiangalia taarifa zao za kiuchumi na utajiri zipo wazi dunia nzima zinajulikana,so wanaona hakuna mwanamke watakuja au wamtongoze wakatae niwachache sana 2% mimi naona sababu kwao ya kutokuoa ipo hapo
 
Natamani wengi wangeelewa hivi ,tuanze hapo kuona katika mtazamo chanya,upo sahihi kabisa
Yeah man inabidi tukubaliane na uhalisia pia

Chukulia mfano shuleni Kuna wanaopiga Division one na wengine wanapiga 0

Kwenye maisha pia mtaani kuna watu wanalala Kwenye mabox barabarani maisha yamewachapa na kuna mwingine maisha kayapatia anaishi Kwenye mjengo mkali anapush ndinga kali

So Kwenye ndoa it's the same story...kuna waliopo Kwenye ndoa wanafurahia na wengine wanapaona pachungu
 
Back
Top Bottom