JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Pamoja na kuwa hawanaga muda hawa elon musk ana work 17 hrs daily hivyo ana squeeze 7 hrs kwenye (kula,kulala,kuoga,kupiga mswaki, e.t.c) hivyo unakuta no time and energy for pussies [emoji846]

Umenikumbusha theories za management hili ya classic theory kuna theorists anasema kampuni ni kama mashine na wafanyakazi ni sehemu ya mashine ni kazi kazi hakuna kulaza uzalishashi, na moja ya criticism ni ipo very exploitative....kuna watu wanapiga mzigo sisi ukiona jumamos na jumapili unapumzika unafurahi na apo umeajiriwa serikalini huna mitazamo ya kuja kuwa billionaire
 
Its obvious mkuuu hata aliyetengeneza Twitter alikuwa na same routine sema saivi ana financial freedom sema it was tough back then

Ni kaxi kaxi tu
 
We ungefanyaje [emoji19][emoji19][emoji19].

God forbid [emoji120]

Kumuacha me mwanamke ni sawa kabisa na hata bibilia inaruhusuhata kanisa katoliki hawaruhusu uzinzi hadi kuvunjika kwa ndoa , ila mimi concerns yangu ni kwa mtoto maana tayari mahusiano yako na yule mtoto zuri alishakuzoe kukuita baba na wewe unamuita mwanangu dah pigo
 
Its true cha muhimu ni kuandaa mazingira mazuri ya mtoto kutoboa lyf kama anavyofanya wixkid tu
 
Sasa mtu kama huyo huna muda na mkeo si watakugongea tu ndiyo maan matajri wanaona kutokua na muda na familia ni risk kuingia ndoani [emoji1787][emoji1787]
Lazima wakugongeee ndo maana nasema asilimia 73% ya wanawake walio kwenye ndoa ni cheap sanaaaaah kuliko maji ya dukani sababu waume zao wengi wapo busy na hawapo emotionally attached na wenxa wao hivyo sababu ni viumbe dhaifu wanarubuniwa kirahisi sana
 
ni kweLi kbsa sema kwann mwanamke ale mali ya mtu ambaye yy hampeNdiii...?
Ila ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata mia
 
Aaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daah

Kwa visa nilivyonavyo huu ni uongo sema watu wanakaxaga sana mafuvu 😂😂😂😂
 
Ila ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata mia
Dah kweli sema ila tutafanyaje sasa ndo maana wengne wanauliwa kwa tamaa za kijinga mtu humpendi usile mali zake aisee
 
Aaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daah

Kwa visa nilivyonavyo huu ni uongo sema watu wanakaxaga sana mafuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Aaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daah

Kwa visa nilivyonavyo huu ni uongo sema watu wanakaxaga sana mafuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ni muhimu mkuu lakini sio reason ya kupendwa
 
Kaka nimehudumia mimba miezi tisa 😁😁kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE 😭😭😭inaniuma saNa
Daaah mnaona waku nawaambia hii karne ya 21 inabidi tuishi kwa kutumia akili ya ziada mwenzenu kapigwa na kitu kizito

Dogo dogo oshey mr 💰 hana mahusiano dogo fundi bishoo

Never attach strings my friend utalia na nafsi yako

Ila polee mkuu kaza moyo tu 😔
 
Back
Top Bottom